简谱网
歌谱
  • 歌谱
  • 歌谱歌手
  • 歌词找歌名
  • 歌手找歌名
当前位置:查字典简谱网 > 歌词 > Mawazo

歌手:diamond风格:歌词

Mawazo - Diamond

Ningekuwa na uwezo ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo

Maana mchana kutwa hata usiku silali mapenzi kwangu kikwazo

Ningekuwa na uwezo ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo

Mara mchana kutwa hata usiku silali mapenzi kwangu kikwazo

Ah sikujua mapenzi balaa tena ni maradhi ya moyo kupendaga

Tena mapenzi karaha yanajenga chuki na choyo kwenye cover

Utu wangu na thamani ina maana kweli hakuvijua

Licha ya burudani ya mapenzi yangu akatimua

Utu wangu na thamani ina maana kweli hakuvijua

Uhuni jaa burudani mtaani akaamua kutimua

Inaniuma sana

Ningekuwa na uwezo ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo mhh mawazo

Maana mchana kutwa hata usiku silali mapenzi kwangu kikwazo mmh kikwazo

Ningekuwa na uwezo ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo nipunguze mawazo

Mara mchana kutwa hata usiku silali mapenzi kwangu kikwazo nna mawazo

Nikikumbukia

Ubongo unapata mawazo

Nikikumbukia

Ubongo unapata mawazo

Nikikumbukia

Ubongo unapata mawazo

Nikikumbukia

Ubongo unapata mawazo

Yule jini kisirani kaingia kwenye utamu wa penzi langu

Ameleta tafarani naumia nalia na moyo wangu

Ona jini kisirani kaingia kwenye utamu wa penzi langu

Ameleta tafarani mwenzenu nalia na moyo wangu

Kuwa mimi wivu ninao na roho yangu ninaumia

Kweli wapendanao ndo maadui zikitimia

Lile tinga langu la maraha leo limekuwa sumu kwangu

Ona tena sina raha ninacheka nnalia na moyo wangu

Ningekuwa na uwezo ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo uhh mawazo

Maana mchana kutwa hata usiku silali mapenzi kwangu kikwazo oh kikwazo

Ningekuwa na uwezo ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo mawazo

Mara mchana kutwa hata usiku silali mapenzi kwangu kikwazo

Nikikumbukia

Ubongo unapata mawazo

Nikikumbukia

Ubongo unapata mawazo

Nikikumbukia

Ubongo unapata mawazo

Nikikumbukia

Ubongo unapata mawazo

Utu wangu na thamani ina maana kweli hakuvijua

Licha ya burudani ya mapenzi yangu akatimua

Utu wangu na thamani ina maana kweli hakuvijua

Licha ya burudani ya mapenzi yangu akatimua

【Mawazo】相关文章:

我不想他

Bad Reputation

Sk8er Boi

失恋无罪

If It Hadn‘t Been For Love(Live)

Mobile

Make Up

Alice(31秒铃声版)

Bad Reputation

Magic Of Love

网友最新关注视频More

乐友都在找

抱歉!该歌曲暂时不能试听! ×